0625 ni mtandao wa Tanzania Hivyo basi ukiona sms imeingia kwenye simu yako au mtu kakupigia kwenye simu yako kwa namba inayoanziwa na 0625 Basi Tambua kuna uwezekano mkubwa Huyo mtu akawa anatumia mtandao wa Halotel Tanzania.
0625 Ni Mtandao Gani Tanzania
0625 Kwa Tanzania ni code inayotumika kwenye namba za simu za baadhi ya watumiaji wa mtandao wa simu wa Halotel.