0689 ni mtandao wa Tanzania Hivyo basi ukiona sms imeingia kwenye simu yako au mtu kakupigia kwenye simu yako kwa namba inayoanziwa na 0689 Basi Tambua kuna uwezekano mkubwa Huyo mtu akawa anatumia mtandao wa Airtel Tanzania.
0689 Ni Mtandao Gani Tanzania
0689 Kwa Tanzania ni code inayotumika kwenye namba za simu za baadhi ya watumiaji wa mtandao wa simu wa Airtel.