Alama za Ufaulu Kidato cha Sita (Madaraja ya Ufaulu Kidato cha Sita)

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Mitihani ya Taifa ya kidato cha sita ni moja ya mitihani muhimu sana katika safari ya elimu nchini Tanzania. Mtihani huu hufanywa na wahitimu wa kidato cha sita kwa ajili ya kuhitimisha masomo ya miaka miwili ya elimu ya sekondari katika ngazi ya A-level.

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) ndilo lenye jukumu la kusimamia na kuendesha zoezi la ufanyikaji wa mtihani huu, pamoja na mitihani ya darasa la saba na kidato cha nne ambayo yote hufanywa na shule zote nchini Tanzaia.

Mtihani wa kidato cha sita ni muhimu katika mtaala wa elimu nchini Tanzania kwa sababu ndio mtihani ambao hutumika kama kigezo cha wanafunzi kujiunga na vyuo vya elimu ya juu kama vile vyuo vya shahada na stashahada.

SOMA HII  Orodha ya Kozi za Diploma Zenye Mkopo 2025/2026

Vilevile, makampuni mbalimbali hutumia matokeo ya mtihani wa kidato cha sita kama kigezo cha kuajiri wafanyakazi katika nyanja mbalimbali.

Alama za Ufaulu Kidato cha Sita (Madaraja ya Ufaulu Kidato cha Sita)

Hapa tumekuletea alama za ufaulu wa kidato cha sita, pamoja na madaraja ya ufaulu kidato cha sita.

Alama za Ufaulu Kidato cha Sita 2024

Alama za Ufaulu Kidato cha Sita 

Uchakataji wa matokeo ya Upimaji wa Kidato cha Sita umezingatia viwango vya alama , madaraja ya ufaulu na utaratibu wa matumizi ya alama endelevu (CA) kama ifuatavyo

Gredi Alama Uzito Wa Gredi (Pointi) Maelezo
A 80-100 1 Excelent
B 70-79 2 Very Good
C 60-69 3 Good
D 50-59 4 Average
E 40-49 5 Satisfactory
S 35-39 6 Subsidiary
F 0-34 7 Fail
SOMA HII  Alama Za Ufaulu Kidato Cha Nne Tanzania (Madaraja ya Ufaulu Form Four)

Madaraja ya ufaulu kidato cha Sita

Mfumo wa madaraja ya ufaulu kwa mtihani wa kidato cha sita unabainishwa kwa kutumia mbinu mbili:

  1. Jumla ya Alama (Total Point Grading System)
  2. Divisheni.

Katika mfumo wa Jumla ya Alama, kila somo litakuwa na uzito maalum kulingana na ugumu na umuhimu wake. Alama za mwanafunzi katika kila somo zitazidishwa na uzito wa somo husika, na jumla ya alama hizo zitaamua daraja la mwanafunzi.

Mfumo wa Divisheni unajumuisha kugawa wanafunzi katika makundi (divisions) kulingana na ufaulu wao wa jumla. Kila kundi litawakilisha kiwango fulani cha ufaulu, na wanafunzi watapangwa katika kundi husika kulingana na alama zao. Mbinu hizi mbili hutumika kwa pamoja ili kuhakikisha kuwa ufaulu wa mwanafunzi unapimwa kwa usahihi na kwa kuzingatia vigezo mbalimbali.

SOMA HII  HESLB: Vigezo vya Kupata Mkopo Ngazi ya Diploma 2025/2026

Watahiniwa waliofanya masomo matatu ya tahasusi au zaidi watapata Daraja la I, II, III, au IV kulingana na jumla ya alama zao.

Watahiniwa waliofanya chini ya masomo matatu ya tahasusi watafaulu kwa daraja la IV ikiwa watafaulu angalau masomo mawili katika Gredi S au somo moja katika Gredi A, B, C, D, au E.

Jedwali lifuatalo linaonesha Madaraja  ya ufaulu kidato cha sita yanayotumiwa na baraza la mitihani Tanzania (NECTA)

Daraja ACSEE (K6) Maelezo
I 3-9 Bora sana (Excellent)
II 10-12 Vizuri sana (Very Good)
III 13-17 Vizuri (Good)
IV 18-19 Inaridhisha (Satisfactory)
0 20-21 Feli (Fail)

 

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Jinsi ya Kuandika CV Nzuri ya Kumvutia Muajiri – Hatua kwa hatua

CV Moja tu inatosha kukupa kazi ya ndoto yako...

Kozi za VETA na Gharama zake

Kozi za VETA na Gharama zake, VETA inatoa kozi...

Jinsi ya Kupata Kibali cha Uhamisho kwa Mtumishi wa Umma

Uhamisho wa mtumishi wa umma ni mchakato muhimu unaohusisha...

Ratiba ya Mtihani wa Upimaji wa Darasa la Pili 2025

Ratiba ya Mtihani wa Upimaji wa Darasa la Pili...

Orodha ya Shule Nzuri za Advanced za Serikali Tanzania

Elimu ni msingi muhimu katika maendeleo ya jamii yoyote,...

HESLB: Vigezo vya Kupata Mkopo Ngazi ya Diploma 2025/2026

Vigezo vya Kupata Mkopo Ngazi ya Diploma 2025/2026, Katika...

Orodha ya Kozi za Diploma Zenye Mkopo 2025/2026

Orodha ya Kozi za Diploma Zenye Mkopo 2025/2026, Kupata...

Alama Za Ufaulu Kidato Cha Nne Tanzania (Madaraja ya Ufaulu Form Four)

Alama za ufaulu kwa Kidato cha Nne nchini Tanzania...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...