0763 ni mtandao wa Tanzania Hivyo basi ukiona sms imeingia kwenye simu yako au mtu kakupigia kwenye simu yako kwa namba inayoanziwa na 0763 Basi Tambua kuna uwezekano mkubwa Huyo mtu akawa anatumia mtandao wa Vodacom Tanzania.
0763 Ni Mtandao Gani Tanzania
0763 Kwa Tanzania ni code inayotumika kwenye namba za simu za baadhi ya watumiaji wa mtandao wa simu wa Vodacom.