Orodha ya Taasisi za Mikopo Mkoa wa Dar es salaam

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Orodha ya Taasisi za Mikopo Mkoa wa Dar es salaam, Wajasiriamali wadogo na wa kati wanahitaji taarifa mbalimbali zinazohusu huduma za kifedha ili kuendeleza au kuanzisha miradi yao ya kiuchumi na kiufundi.

Shirika la SIDO hutoa mkopo kwa wajasiriamali hadi kiasi cha shilingi 2,500,000 na shilingi 6,000,000 kwa Mfuko ya NEDF na RRF kadhalika.

Wajasiriamali ambao wanahitaji kiasi cha fedha zaidi au huduma ya taarifa mbalimbali juu ya mikopo mbalimbali huweza kuunganishwa na SIDO kwenye Taasisi nyingine za kifedha.

Orodha ya baadhi ya Taasisi za kifedha:

  1. National Microfinance Bank (NMB)
  2. CRDB Bank PLC
  3. DCB Bank
  4. Akiba Commercial Bank
  5. Equity Bank
SOMA HII  Makato ya kutuma Pesa M-Pesa kwenda CRDB

Ili kupata maelezo zaidi kuhusu huduma za uunganishwaji wa wajasiriamali kwenye taasisi nyingine za kifedha, mjasiriamali anaweza kuwasiliana na ofisi za SIDO.

Mahitaji ya Kuwasilisha Kufanya Tathmini wa Mkopo:

Benki Makampuni ya Fedha Ndogo (Microfinance Companies) SACCOS
Leseni hai ya Biashara ya Manispaa/Halmashauri Leseni hai ya Biashara ya Manispaa/Halmashauri Leseni hai ya Biashara ya Manispaa/Halmashauri
Leseni ya Benki kutoka Benki Kuu Ya Tanzania
Hati Safi ya TRA (Tax Clearance Certificate) Hati Safi ya TRA (Tax Clearance Certificate) Hati Safi ya TRA (Tax Clearance Certificate)
Hati ya Usajili Kampuni kutoka BRELA Hati ya Usajili Kampuni kutoka BRELA Hati ya Usajili Kampuni kutoka BRELA
Hati/Memoranda na Makala ya Makubaliano Hati/Memoranda na Makala ya Makubaliano – Memorandum and Articles of Association (MEMART) Hati/Memoranda na Makala ya Makubaliano – Memorandum and Articles of Association (MEMART)
Mrejesho wa kila mwaka wa BRELA Mrejesho wa Kila Mwaka wa BRELA
Nakala za Cheti cha Usajili VAT na Utambulisho wa Mlipa Kodi Nakala za Cheti cha Usajili VAT na Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN)
Azimio la Bodi Kukopa Azimio la Bodi Kukopa Azimio la Bodi Kukopa
Sera ya Mikopo Sera ya Mikopo Sera ya Mikopo
Taarifa ya Ukaguzi wa Fedha isiopungua mwaka mmoja nyuma Taarifa ya Ukaguzi wa Fedha isiopungua mwaka mmoja nyuma Taarifa ya Ukaguzi wa Fedha isiopungua mwaka mmoja nyuma
Makadirio ya Mzunguko wa Fedha wa mwaka/miaka ijayo Makadirio ya Mzunguko wa Fedha wa mwaka/miaka ijayo Makadirio ya Mzunguko wa Fedha wa mwaka/miaka ijayo
Mpango wa Biashara (Business plan) Mpango wa Biashara (Business plan) Mpango wa Biashara (Business Plan)
SOMA HII  Aina za Mafanikio Tanzania

 

Benki Kuu ya Tanzania inasimamia taasisi mbalimbali za fedha na inaoorodha ya taasisi hizo. Unaweza kuangalia orodha yao kwa habari zaidi ; https://www.bot.go.tz/BankSupervision/Institutions?lang=sw

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Biashara Ndogo Ndogo Zenye Mtaji Kidogo

Biashara Ndogo Ndogo Zenye Mtaji Kidogo, Biashara ndogondogo zenye...

Jinsi ya Kupata Pesa kwa Biashara Ya Upigaji wa Picha Tanzania

Jinsi ya Kupata Pesa kwa Biashara Ya Upigaji wa...

Bei Mpya Vifurushi vya Azam TV | Gharama Mpya za Vifurushi vya Azam TV

Bei Mpya Vifurushi vya Azam TV, Azam TV imekuwa...

Jinsi ya kuandaa Tangazo La biashara kwa urahisi

Jinsi ya kuandaa Tangazo La biashara kwa urahisi, Kuandaa...

Jinsi Ya Kulipia Vifurushi Vya Startimes

Startimes ni moja ya kampuni kubwa za utoaji huduma...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...