Orodha ya Code Za Mitandao ya Simu Tanzania

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Orodha ya Code Za Mitandao ya Simu Tanzania, Katika dunia ya kisasa, matumizi ya simu za mkononi yamekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku.

Moja ya vipengele vinavyoleta mabadiliko katika utumiaji wa simu ni code za mitandao ya simu ambazo hutumika kutambulisha na kutofautisha mitandao mbalimbali ya simu. Katika makala hii, tutajadili orodha ya code za mitandao ya simu nchini Tanzania, pamoja na umuhimu wao kwa watumiaji wa huduma za simu.

Kwa mawasiliano ndani ya Tanzania namba za kieneo hutanguliwa na “0”. Kufikia simu kutoka nje ya nchi kuna namba ya kimataifa 00255 (sawa na +255) inayofuatiliwa na namba ya kieneo bila 0 na namba ya simu.

SOMA HII  Hatua za Kuangalia Namba ya NIDA Online kwa haraka

Aina ya itandao ya Simu Tanzania

Tanzania ni nchi endelevu katika swala la teknolojia kama yalivyokua mataifa mengine. Kwenye ulimwengu wa mawasiliano Tanzania pia imeshuhudia kukua kwake kwa kua na idadi kubwa ya makampuni yaa simu. Hapa chini ni kampuni za mawasiliano ya simu zinazopatikana Tanzania.

  1. Tigo/Yas
  2. Vodacom
  3. Airtel
  4. Halotel
  5. TTCL
  6. Zantel

Namba za simu za mkononi

Namba hizi huanza kwa 6 au 7 na kuwa na tarakimu 9 (bila sifuri).

Simu za mkononi Tanzania
Namba ya mtandao Kampuni
62 Halotel (Viettel)
65 TIGO (Mobitel)
66 Smile Communications Tanzania Limited
67 TIGO/YAS (Mobitel)
68 Airtel Tanzania Limited
69 Airtel Tanzania Limited
71 TIGO/YAS(Mobitel)
73 TTCL Tanzania Telecommunications Company Ltd
74 Vodacom (Celtel)
75 Vodacom (Celtel)
76 Vodacom (Celtel)
77 Zantel (Zanzibar Telecom Ltd)
78 ZAIN
SOMA HII  Namna ya Kuangalia Namba ya NIDA Online - Hatua kwa hatua

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Jinsi ya Kuhakiki cheti za kuzaliwa eRITA Portal – Hatua Kwa Hatua

Jinsi ya Kuhakiki cheti za kuzaliwa eRITA Portal, Kuhakiki...

Umuhimu/Matumizi ya Kitambulisho cha Taifa NIDA

Matumizi ya Kitambulisho cha Taifa NIDA, Kitambulisho cha Taifa...

Fahamu Gharama za Ushuru wa Kuingiza Gari Kutoka Nje ya Nchi

Fahamu Gharama za Ushuru wa Kuingiza Gari Kutoka Nje...

Umuhimu wa Kupanga Ratiba Kwenye Maisha

Ratiba siyo muhimu tu kwa ajili ya taasisi fulani...

Faida za Kupanga Malengo Kwenye Maisha

Faida za Kupanga Malengo Kwenye Maisha, Kujiwekea malengo maishani...

Jinsi ya Kutazama Azam TV Max App Bila Kisimbuzi cha Azam TV

Je, unajua kuwa unaweza kufurahia burudani na huduma za...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...