Fahamu Namna ya Kujiunga Vifurushi Simba Bando Vodacom

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Simba bando ni viurushi vilivyoanzishwa na Vodacom kwa kushirikiana na Klabu ya mpira wa miguu Simba sports Club kwaajili ya Mashabiki wa simba wenye Mapenzi na timu yao ambao hawataki kupitwa na habari yoyote inayohusu timu yao.

Aina ya Vifurushi vya Simba Bando

Vifurushi vya Simba Bando vinakuja na chaguzi mbalimbali zinazokidhi mahitaji tofauti ya watumiaji. Kila kifurushi kinajumuisha dakika za kupiga simu, SMS za kutuma ujumbe, na MB za intaneti, huku bei zikiwa nafuu na zenye ushindani.

Lakini faida hazishii hapo! Kila kifurushi cha Simba Bando pia kinajumuisha huduma ya kipekee iitwayo “Simba Mastori”.

Simba Mastori ni huduma ya habari itakayowapa mashabiki wa Simba taarifa za kipekee na za ndani kuhusu klabu yao pendwa. Kupitia Simba Mastori, mashabiki watapata habari mpya za usajili, matokeo ya mechi, mahojiano na wachezaji, uchambuzi wa mechi, na mengine mengi.

SOMA HII  Jinsi ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa kwa Mtu Mzima RITA

Huduma hii itahakikisha kuwa mashabiki wa Simba wanakuwa mstari wa mbele kupata habari zote muhimu zinazohusu timu yao.

Fahamu Namna ya Kujiunga Vifurushi Simba Bando Vodacom

Vifuatavyo ni vifurushi vya Simba Bando ambavyo vimegawanywa kulingana na siku, wiki na mwezi.

Vifurushi vya Simba Bando Kwa Siku:

  • TSH 600: Dakika 30 za kupiga simu, SMS 20 za kutuma ujumbe, pamoja na huduma ya kipekee ya Simba Mastori.
  • TSH 600: MB 246 za intaneti kwa kuperuzi mitandao ya kijamii, kuangalia video, na mengine mengi, pamoja na Simba Mastori.

Vifurushi vya Simba Bando Kwa Wiki:

  • TSH 2900: Dakika 200 za kupiga simu, SMS 50 za kutuma ujumbe, na bila shaka, Simba Mastori.
  • TSH 3400: MB 1434 za intaneti kwa matumizi ya wiki nzima, pamoja na Simba Mastori.
SOMA HII  Jinsi ya Kukopa Salio Airtel | Menu Ya Kukopa Salio Airtel

Vifurushi vya Simba Bando Kwa Mwezi:

  • TSH 11000: Dakika 1200 za kupiga simu, SMS 100 za kutuma ujumbe, na huduma ya Simba Mastori.
  • TSH 11000: MB 4096 za intaneti kwa mwezi mzima wa kuperuzi bila wasiwasi, pamoja na Simba Mastori.

Jinsi ya Kujiunga Vifurushi Simba Bando Vodacom

  1. Hakikisha una laini ya Vodacom Tanzania.
  2. Piga *149*01# Menu ya Kujiunga Simba Bando
  3. Chagua namba 7 “Simba & Burudani”
  4. Chagua namba 1 “Simba Bando”
  5. Kisha Chagua kifurushi cha Simba Bando unachotaka.
  6. Thibitisha uchaguzi wako.

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Jinsi ya Kuhakiki cheti za kuzaliwa eRITA Portal – Hatua Kwa Hatua

Jinsi ya Kuhakiki cheti za kuzaliwa eRITA Portal, Kuhakiki...

Umuhimu/Matumizi ya Kitambulisho cha Taifa NIDA

Matumizi ya Kitambulisho cha Taifa NIDA, Kitambulisho cha Taifa...

Fahamu Gharama za Ushuru wa Kuingiza Gari Kutoka Nje ya Nchi

Fahamu Gharama za Ushuru wa Kuingiza Gari Kutoka Nje...

Umuhimu wa Kupanga Ratiba Kwenye Maisha

Ratiba siyo muhimu tu kwa ajili ya taasisi fulani...

Jinsi ya Kutazama Azam TV Max App Bila Kisimbuzi cha Azam TV

Je, unajua kuwa unaweza kufurahia burudani na huduma za...

Faida za Kupanga Malengo Kwenye Maisha

Faida za Kupanga Malengo Kwenye Maisha, Kujiwekea malengo maishani...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...