Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira Vodacom M-Pesa

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira Vodacom M-Pesa, Kwa kutumia Vodacom M-Pesa, unapata urahisi wa kufanya malipo ya tiketi, kukwepa foleni, na kufurahiya mechi za mpira ukiwa na tiketi yako tayari.

Katika makala hii, tutakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kununua tiketi za mpira kwa kutumia Vodacom M-Pesa.

Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira Vodacom M-Pesa

Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira Vodacom M-Pesa

  1. Piga *150*00#
  2. Chagua 4 (Lipa kwa M-Pesa)
  3. Chagua 9 (Zaidi)
  4. Chagua 1 (E-payment)
  5. Chagua 1 (Tiketi za Michezo)
  6. Chagua 1 (Tiketi za Mpira)
  7. Chagua mechi unayotaka kulipia
  8. Chagua kiingilio
  9. Weka namba ya kadi ya N-Card
  10. Ingiza namba ya siri
  11. Thibitisha
SOMA HII  Jinsi ya Kutazama Azam TV Max App Bila Kisimbuzi cha Azam TV

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Jinsi ya Kuhakiki cheti za kuzaliwa eRITA Portal – Hatua Kwa Hatua

Jinsi ya Kuhakiki cheti za kuzaliwa eRITA Portal, Kuhakiki...

Umuhimu/Matumizi ya Kitambulisho cha Taifa NIDA

Matumizi ya Kitambulisho cha Taifa NIDA, Kitambulisho cha Taifa...

Fahamu Gharama za Ushuru wa Kuingiza Gari Kutoka Nje ya Nchi

Fahamu Gharama za Ushuru wa Kuingiza Gari Kutoka Nje...

Umuhimu wa Kupanga Ratiba Kwenye Maisha

Ratiba siyo muhimu tu kwa ajili ya taasisi fulani...

Faida za Kupanga Malengo Kwenye Maisha

Faida za Kupanga Malengo Kwenye Maisha, Kujiwekea malengo maishani...

Jinsi ya Kutazama Azam TV Max App Bila Kisimbuzi cha Azam TV

Je, unajua kuwa unaweza kufurahia burudani na huduma za...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...