Namba Muhimu Za Haloteli (Code Muhimu za Haloteli)

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Namba Muhimu Za Haloteli, Halotel ni miongoni mwa mitandao ya simu inayoongoza nchini, ikihudumia kwa gharama nafuu.

Mtandao wa Halotel Umejipatia sifa kwa huduma bora na bei nafuu ikilinganishwa na wengine, hivyo kuwavutia wengi kutumia mtandao huu.

Ikiwa wewe ni mteja wa Halotel au unapanga kuanza kutumia mtandao huu, ni muhimu kufahamu Code za Halotel, ambazo ni namba maalum zinazowawezesha wateja wa haloteli kujiunga na huduma mbalimbali. Hapa tumekuletea namba zote za kujiunga na huduma mbalimbali za Haloteli.

Namba Muhimu Za Haloteli (Code Muhimu za Haloteli)

Code Za Haloteli Huduma
*148*66# Kusajili vifurushi
*148*55# Kusajili vifurushi kwa laini za Chuo, Tomato, Edu na Study
*150*88# HaloPesa
*102# Kuangalia salio Kuu na Ia Ziada
*102*01# Kuangalia salio Ia Promosheni
*106# Kuangalia taarifa za usajili
*15042*1# Kusajili huduma za roaming
namba za *kiasi # *101* mpokeaji Kutuma salio
SOMA HII  Namna Ya Kuangalia Namba Ya Simu Airtel, Vodacom, TTCL, YAS & Halotel

Namba Muhimu Za Haloteli (Code Muhimu za Haloteli)

Kuhusu Halotel Tanzania

Halotel ni kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi inayojulikana kwa huduma za sauti, ujumbe, data, na mawasiliano nchini Tanzania. Ni mali ya Viettel Global JSC, kampuni ya uwekezaji inayomilikiwa na serikali ya Vietnam, ambayo imekuwa ikifanya uwekezaji katika sekta ya mawasiliano katika nchi mbalimbali ulimwenguni.

Viettel imewekeza zaidi ya dola bilioni moja katika soko la mawasiliano la Tanzania. Halotel ilikuwa kampuni ya kwanza nchini Tanzania kuruhusiwa kuweka miundombinu yake ya fiber optic, na sasa inatoa huduma za mawasiliano katika mikoa yote 26 ya Tanzania, ikiwa na mtandao wa zaidi ya kilomita 18,000 za fiber optic

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Jinsi ya Kuhakiki cheti za kuzaliwa eRITA Portal – Hatua Kwa Hatua

Jinsi ya Kuhakiki cheti za kuzaliwa eRITA Portal, Kuhakiki...

Umuhimu/Matumizi ya Kitambulisho cha Taifa NIDA

Matumizi ya Kitambulisho cha Taifa NIDA, Kitambulisho cha Taifa...

Fahamu Gharama za Ushuru wa Kuingiza Gari Kutoka Nje ya Nchi

Fahamu Gharama za Ushuru wa Kuingiza Gari Kutoka Nje...

Umuhimu wa Kupanga Ratiba Kwenye Maisha

Ratiba siyo muhimu tu kwa ajili ya taasisi fulani...

Jinsi ya Kutazama Azam TV Max App Bila Kisimbuzi cha Azam TV

Je, unajua kuwa unaweza kufurahia burudani na huduma za...

Faida za Kupanga Malengo Kwenye Maisha

Faida za Kupanga Malengo Kwenye Maisha, Kujiwekea malengo maishani...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...