Biashara Ndogo Ndogo Zenye Mtaji Kidogo

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Biashara Ndogo Ndogo Zenye Mtaji Kidogo, Biashara ndogondogo zenye faida kubwa tanzania na ambazo zinalipa na pia zinazohitaji mtaji kidogo ili kuanzisha pamoja na kuiendesha ukiwa tanzania

Biashara Ndogo Ndogo Zenye Mtaji Kidogo

Hizi hapa ni biashara ndogo ndogo zenye mtaji mdogo ambazo unaweza kuanzisha kwa urahisi, hata kama una pesa kidogo sana. Biashara hizi zinaweza kufanyika mijini au vijijini kutegemea mazingira yako:

SOMA HII  Jinsi Ya Kupata Mtaji wa Biashara Ndogondogo

1. Biashara ya juice za matunda

Biashara ya Juice ya Matunda ya elfu kumi inaweza toa had lita kumi za juice ambapo lita moja ni sawa na glass tano au nne za juice so kwenye lita kumi upata grass 40 sawa na elfu ishirin ukitoa matunda, sukar na vigras unafaida elfu tano

2. Biashara ya matunda

Biashara ya matunda Siku hzi watu wengi hasa maofisini wanapenda kula matunda andaa kwa usafi matunda yako hapa unaweza tumia elfu kumi na tano.

Unanunua matunda mchanganyiko, nunua vifungashio vile vya kuwekea matunda pack matunda yako ambapo yakiuzika na biashara ikaenda vyema unaondoka na faida nusu kwa nusu

SOMA HII  Jinsi Ya Kulipia Vifurushi Vya Startimes

3. Biashara ya mkaa

Kwenye biashara ya Gunia la elfu 30 unaweza kutoa mafungu 45 ya mkaa sawa na elfu arobain na tano faida elfu kumi na tano

4. Biashara ya mobile genge

Biashara ya genge linalotembea unaweza kutumia smartphone kutangaza unauza vitu vya gengeni kama nyanya, vitunguu karoti, na vitu vingine ya jikoni, ukipata order unaenda ilala soko la wakulima unajumua vya kutosha unapeleka faida hapa ni nusu kwa nusu, pia unaweza tembezea majirani zako kutegemeanana sehemu unayoishi

5. Biashara ya bites

Biashara ya bites kama crips sambusa, chapati, maandazi, mihogo ya kukaanga, vitumbua karanga za mayai, ubuyu, korosho, visheti na bites zingine unaweza kufanya biashara ya kusambaza vitafunwa maofisini kwa package au ukauzia nyumbani moja ya vitafunwa hivyo

SOMA HII  Ishara Mhuhimu za Mafanikio

6. Biashara ya vinywaji baridi stend za daladala

biashara ya vinywaji Unaweza ukauza hata kwenye ndoo kama huna deli nunua mabarafu nunua vinywaji tafuta kijana au wewe mwenyewe uza biashara yako kwenye stend za daladala inalipa saaana

7. Biashara ya uji wa ulezi na uji wa Mchele

Biashara ya uji wa mchele pamoja na uji wa ulezi ni biashara nzuri sana unaweza kuanza kwa kuKodi toroli jaza chupa zako uji aina hizo tembeza kwenye magereji na sehemu za bodaboda.

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Jinsi ya Kupata Pesa kwa Biashara Ya Upigaji wa Picha Tanzania

Jinsi ya Kupata Pesa kwa Biashara Ya Upigaji wa...

Jinsi ya kuandaa Tangazo La biashara kwa urahisi

Jinsi ya kuandaa Tangazo La biashara kwa urahisi, Kuandaa...

Bei Mpya Vifurushi vya Azam TV | Gharama Mpya za Vifurushi vya Azam TV

Bei Mpya Vifurushi vya Azam TV, Azam TV imekuwa...

Jinsi Ya Kulipia Vifurushi Vya Startimes

Startimes ni moja ya kampuni kubwa za utoaji huduma...

Hatua za Kuanzisha Biashara ya Chupi kwa Tanzania

Biashara ya nguo za ndani ni miongoni mwa Biashara...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...