Wasifu CV ya Neo Maema Kiungo Mpya wa Simba 2025/2026

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Klabu ya Simba SC imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Neo Maema, kutoka Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kwa mkataba wa mwaka mmoja, huku kukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mwingine kulingana na makubaliano.

Usajili huu umetangazwa rasmi tarehe 21 Agosti 2025, wakati Simba ikijiandaa kwa msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2025/2026.

Cv ya Neo Maema Kiungo Mpya wa Simba 2025/2026

Wasifu CV ya Neo Maema Kiungo Mpya wa Simba 2025/2026

Hapa chini tumekuandalia CV kamili ya Neo Maema Kiungo Mpya wa Simba 2025/2026, ikionyesha safari yake ya soka, mafanikio, na matarajio mapya akiwa na Wekundu wa Msimbazi.

Taarifa Binafsi za Neo Maema

  • Jina Kamili: Neo Maema
  • Tarehe ya Kuzaliwa: 1 Desemba 1995
  • Umri: Miaka 29 (2025)
  • Urefu: 1.67m
  • Nchi: Afrika Kusini
  • Mguu Anaotumia: Kushoto
  • Nafasi Uwanjani: Kiungo Mshambuliaji
  • Wakala: JDR Consulting
  • Klabu ya Sasa: Simba SC
  • Alijiunga na Simba: 21 Agosti 2025
SOMA HII  Yanga SC Kucheza Dhidi ya Bandari FC Siku ya Wiki ya Mwananchi 2025

Neo Maema alianza kutambulika kwenye ligi kuu ya Afrika Kusini kupitia klabu ya Bloemfontein Celtic kabla ya kujiunga na Mamelodi Sundowns mnamo 2021. Akiwa na Sundowns, alijijengea heshima kubwa kutokana na kiwango chake cha juu, akicheza jumla ya michezo 120, kufunga mabao 14 na kutoa asisti 13 katika michuano mbalimbali.

Mafanikio yake na Sundowns ni pamoja na:

  1. Ubingwa wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini mara nne
  2. Kombe la Nedbank Cup mara moja
  3. Kombe la MTN8 mara moja
  4. Taji la African Football League mara moja

Kufikia Agosti 2025, Sundowns ilimuachia rasmi Maema, na Simba SC ikatumia fursa hiyo kumsajili kama sehemu ya maboresho ya kikosi chake kuelekea msimu mpya.

SOMA HII  Orodha kamili ya Washindi wa Tuzo za Tanzania Comedy Awards 2024/2025

Uzoefu wa Kimataifa

Maema amewahi kuiwakilisha Bafana Bafana, timu ya taifa ya Afrika Kusini, hususan katika mashindano ya CHAN 2024. Katika michuano hiyo, aliteuliwa kuwa nahodha wa timu na akafunga bao moja katika mechi nne alizocheza. Hata hivyo, Bafana Bafana walishindwa kufuzu hatua ya robo fainali baada ya kutoka sare ya 3-3 dhidi ya Uganda.

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Ratiba ya Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 Hatua ya Awali

Droo ya mashindano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF)...

Timu 12 Zitakazoshiriki Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2025

Timu 12 Zitakazoshiriki Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2025 Timu...

Wasifu CV Ya Mohamed Doumbia Kiungo Mpya wa Yanga 2025/2026

Mu Ivory Coast, Mohamed Doumbia (26) ametambulishwa na timu...

Orodha ya Wafungaji Bora CHAN 2025

Orodha ya Wafungaji Bora CHAN 2025, Michuano ya CHAN...

Kikosi cha Taifa Stars vs Morocco Leo 22 August 2025 CHAN

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itacheza mchezo...

Wasifu CV Ya Rushine De Reuck Beki Mpya wa Simba 2025/2026

Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi beki wa kati, Rushine...

Matokeo ya Taifa Stars vs Morocco Leo 22/08/2025 CHAN

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars,...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...