Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itacheza mchezo unaofuata dhidi ya Morocco. Mchezo huo wa Robo Fainali ya Michuano ya CHAN 2024 utachezwa Leo Ijumaa tarehe 22 August 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es salaam Kuanzia Saa 2:00 usiku.
Kuelekea mchezo huo, Habari Web itakuletea Kikosi Cha Tanzania kinachoanza dhidi ya Morocco Kuanzia Saa 1:00 usiku.