Bei ya Vifurushi Vya Wiki Azam TV

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Bei ya Vifurushi Vya Wiki Azam TV. Je, unatafuta njia rahisi na ya bei nafuu ya kufurahia chaneli zako uzipendazo bila kujifunga kwenye vifurushi vya muda mrefu? Vifurushi vya Azam TV vya wiki vinaweza kuwa suluhisho bora kwako!

Azam TV, moja kati ya watoa huduma ya televisheni nchini Tanzania anayeongoza kwa kutoa huduma zenye ubora mkubwa kwa bei nafuu, Azam wanaelewa kuwa mahitaji ya burudani ya kila mtu ni tofauti.

Ndiyo maana wamekuja na vifurushi vya wiki, vinavyompa mteja uhuru wa kuchagua chaneli anazotaka kutazama kwa bei nafuu.

Haijarishi wewe ni mpenzi wa filamu za kusisimua, tamthilia za kibongo zenye mafundisho, habari za ndani na nje ya nchi, au michezo ya kusisimua kama vile Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam TV ina kifurushi maalum kwa ajili yako.

Katika makala haya, tutazama kwa undani zaidi vifurushi hivi vya Azam TV vya wiki, tukiangazia chaneli zinazopatikana, bei, na jinsi ya kujiunga. Pia, tutakupa vidokezo vya jinsi ya kuchagua kifurushi kinachokufaa zaidi kulingana na mahitaji yako na bajeti yako.

Bei Ya Vifurushi Vya Azam TV Vya Wiki

Wiki Azam Lite TZS 2,500 / Wiki
Wiki Azam Pure TZS 5,500 / Wiki
SOMA HII  Njia Sahihi za Kufanikiwa Katika Umri Mdogo

Bei Mpya Ya Vifurushi vya Azam kwa Mwezi

Bei Mpya Vifurushi vya Azam (Vifurushio vya DTH)

Jina la Kifurushi Bei ya Zamani (TZS) Bei Mpya (TZS)
Azam Lite 10,000 12,000
Azam Pure 17,000 19,000
Azam Plus 25,000 28,000
Azam Play 35,000 35,000
Azam Lite Weekly 3,000 4,000
Azam Pure Weekly 6,000 7,000

Bei Mpya Vifurushi vya Azam   vya DTT

Jina la Kifurushi Bei ya Zamani (TZS) Bei Mpya (TZS)
Saadani 10,000 12,000
Mikumi 17,000 19,000
Ngorongoro 25,000 28,000
Serengeti 35,000 35,000
Saadani Weekly 3,000 4,000
Mikumi Weekly 6,000 7,000
Saadani Daily 500 600
Mikumi Daily 1,000 1,200

Faida za Vifurushi Vya Azam TV Vya Wiki

Vifurushi vya Azam TV vya wiki vinakuja na faida lukuki zinazompa mteja wa Azam thamani kubwa kwa pesa yake na kumfanya kufurahia vipindi kutoka kwenye chaneli mbalimbali zaidi ya 40. Zifuatazo ni baadhi ya faida ya kulipia Vifurushi Vya Azam TV Vya Wiki .

  1. Urahisi na Uhuru wa Kuchagua: Pamoja na vifurushi vya Azam TV vya wiki, huna haja ya kujifunga kwenye kifurushi cha muda mrefu. Unaweza kubadilisha kifurushi chako kila wiki kulingana na mahitaji yako ya kutazama. Je, unataka kifurushi chenye chaneli za michezo wakati wa msimu wa ligi kuu? Au labda unahitaji kifurushi chenye chaneli za filamu na tamthilia kwa ajili ya wikendi? Chaguo ni lako!
  2. Bei Nafuu: Vifurushi vya Azam TV vya wiki vinapatikana kwa bei nafuu, kuanzia shilingi 2,500 tu. Hii inamaanisha kuwa unaweza kufurahia burudani ya televisheni bila kubana bajeti yako. Unaweza kuchagua kifurushi kinacholingana na uwezo wako wa kifedha.
  3. Chaneli Mbalimbali: Azam TV inatoa uteuzi mpana wa chaneli za ndani na kimataifa katika vifurushi vyake vya wiki. Ukiwa na Azam Tv utapata chaneli za habari, michezo, filamu, tamthilia, muziki, watoto, na mengine mengi. Hakika kuna kitu kwa kila mtu katika familia yako.
  4. Hakuna Mkataba wa Muda Mrefu: Tofauti na vifurushi vingine vinavyohitaji mkataba wa muda mrefu, vifurushi vya Azam TV vya wiki vinampa mtumiaji uhuru wa kusitisha usajili wake wakati wowote atakapotaka.
  5. Rahisi Kujiunga: Mteja wa Azam anaweza kujiunga na kifurushi cha Azam TV cha wiki kwa urahisi kupitia simu ya mkononi kwa kutumia USSD, mtandaoni, au kupitia mawakala walioidhinishwa.
SOMA HII  Dalili za Kufanikiwa Kimaisha

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Jinsi ya Kupata Pesa kwa Biashara Ya Upigaji wa Picha Tanzania

Jinsi ya Kupata Pesa kwa Biashara Ya Upigaji wa...

Biashara Ndogo Ndogo Zenye Mtaji Kidogo

Biashara Ndogo Ndogo Zenye Mtaji Kidogo, Biashara ndogondogo zenye...

Jinsi ya kuandaa Tangazo La biashara kwa urahisi

Jinsi ya kuandaa Tangazo La biashara kwa urahisi, Kuandaa...

Bei Mpya Vifurushi vya Azam TV | Gharama Mpya za Vifurushi vya Azam TV

Bei Mpya Vifurushi vya Azam TV, Azam TV imekuwa...

Jinsi Ya Kulipia Vifurushi Vya Startimes

Startimes ni moja ya kampuni kubwa za utoaji huduma...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...