Wasifu CV ya Mohammed Bajaber Kiungo Mshambuliaji Mpya Simba Sc 2025/2026

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Mohammed Bajaber, raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 22, kama sehemu ya usajili wao kuelekea msimu wa mashindano wa 2025/2026. Ujio wa Bajaber, aliyejizolea umaarufu mkubwa ndani ya muda mfupi kwenye soka la Afrika Mashariki, unaashiria dhamira ya klabu hiyo kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji kuelekea kampeni ya Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano ya kimataifa ya CAF.

Wasifu CV ya Mohammed Bajaber Kiungo Mshambuliaji Mpya Simba Sc 2025/2026

Cv ya Mohammed Bajaber Kiungo Mshambuliaji Mpya Simba Sc 2025/2026

Wasifu wa Mohammed Bajaber

Mohammed Bajaber alizaliwa mwaka 2003 nchini Kenya na ni zao la akademia ya Starfield. Akiwa kiungo mshambuliaji mwenye uwezo wa kucheza kama winga wa kushoto, wa kulia, na pia namba 10, amejijengea jina kama mchezaji mwenye kasi, ubunifu na uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi za mabao.

SOMA HII  Droo ya Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 CAF Champions League

Bajaber alianza msimu wa 2024/2025 akiwa na Nairobi City Stars, kabla ya kutua Kenya Police FC mwanzoni mwa mwaka 2025 kwa dau la Ksh 1 milioni. Katika muda mfupi ndani ya kikosi hicho, alijidhihirisha kama moja ya wachezaji bora zaidi wa ligi, akiisaidia klabu hiyo kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Kenya (FKFPL) kwa mara ya kwanza katika historia yao.

Takwimu Muhimu za Uchezaji

Katika msimu wake wa mwisho na Kenya Police, Bajaber alifunga mabao 11 na kuchangia kupatikana kwa mabao manne zaidi. Ufanisi huo ulimfanya kuwa mmoja wa wachezaji wa kutegemewa kwenye safu ya ushambuliaji ya timu hiyo, na hatimaye kuvutia macho ya Simba SC.

SOMA HII  Timu 12 Zitakazoshiriki Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2025

Uzoefu wa Kimataifa

Mbali na mafanikio ya ndani, Bajaber aliitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, chini ya kocha Benni McCarthy. Katika mechi yake ya kwanza ya kimataifa dhidi ya Gambia, Bajaber aliingia kama mchezaji wa akiba na kufunga bao la kusawazisha kwa mkwaju mzuri, jambo lililomletea sifa kutoka kwa wadau wa soka. Ingawa alikumbwa na majeraha ya msuli wa paja daraja la pili, bado aliitwa kwenye kikosi cha CHAN 2024, kabla ya kuondolewa kambini ili kukamilisha uhamisho wake kwenda Simba.

Mkataba na Simba SC

Kwa mujibu wa taarifa rasmi zilizopo, Bajaber amesaini mkataba wa miaka mitatu na Simba SC. Chanzo cha habari kutoka Kenya kimeeleza kuwa Kenya Police FC ilipokea kiasi cha Ksh 12.9 milioni sawa na dola 100,000, na hivyo kupata faida kubwa ukizingatia waliwanunua mchezaji huyo kutoka Nairobi City Stars kwa Ksh 1 milioni pekee.

SOMA HII  Viingilio Simba Day 2025 (Bei ya Tiketi Siku ya Simba Day)

Bajaber anatarajiwa kuungana na kikosi cha Simba kilichoko kambini nchini Misri kwa maandalizi ya msimu mpya. Atakuwa chini ya Kocha Mkuu Fadlu David, ambapo ataanza kujiweka sawa kushiriki mechi za kirafiki na michuano ya ndani pamoja na ile ya Afrika.

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Wasifu CV ya Neo Maema Kiungo Mpya wa Simba 2025/2026

Klabu ya Simba SC imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo...

Wasifu CV Ya Mohamed Doumbia Kiungo Mpya wa Yanga 2025/2026

Mu Ivory Coast, Mohamed Doumbia (26) ametambulishwa na timu...

Ratiba ya Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 Hatua ya Awali

Droo ya mashindano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF)...

Timu 12 Zitakazoshiriki Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2025

Timu 12 Zitakazoshiriki Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2025 Timu...

Orodha ya Wafungaji Bora CHAN 2025

Orodha ya Wafungaji Bora CHAN 2025, Michuano ya CHAN...

Kikosi cha Taifa Stars vs Morocco Leo 22 August 2025 CHAN

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itacheza mchezo...

Wasifu CV Ya Rushine De Reuck Beki Mpya wa Simba 2025/2026

Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi beki wa kati, Rushine...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...