Wasifu CV ya Naby Camara Beki Mpya Simba 2025/26

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa mchezaji kiraka, Naby Camara, raia wa Guinea. Camara anasifika kwa uwezo mkubwa wa kucheza nafasi nyingi uwanjani ikiwemo beki wa kushoto, kiungo wa kati (namba 6), namba 10 pamoja na winga wa kushoto.

Usajili huu umeongeza nguvu mpya kwenye kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kuelekea msimu wa mashindano ya Ligi Kuu NBC 2025/26 na michuano ya kimataifa ya CAF. Naby Camara amejipatia jina la utani “Messi” kutokana na uchezaji wake wa kiufundi, ubunifu na uwezo wa kudhibiti mchezo. Sifa hii imewafanya mashabiki wengi kuamini kuwa ataongeza ladha ya kipekee kwenye kikosi cha Simba.

SOMA HII  Wasifu CV ya Neo Maema Kiungo Mpya wa Simba 2025/2026

Wasifu CV ya Naby Camara Beki Mpya Simba 2025/26

CV ya Naby Camara Beki Mpya Simba 2025/26

Taarifa Binafsi za Naby Camara

  • Jina kamili: Naby Camara
  • Tarehe ya kuzaliwa: 03 Desemba 2001
  • Umri: Miaka 23 (2025)
  • Urefu: 1.77m
  • Raia: Guinea
  • Mguu anaotumia zaidi: Kushoto
  • Nafasi anazocheza: Kiungo wa kati, beki wa kushoto, namba 10, na winga wa kushoto
  • Klabu ya sasa: Simba SC (alijiunga Agosti 14, 2025)

Safari ya Kimpira na Historia ya Usajili

Kabla ya kujiunga na Simba SC, Naby Camara alicheza kwenye klabu kadhaa barani Afrika na Kati ya Mashariki:

  • 2019/20 – Alihudumu katika kikosi cha vijana cha CS Sfaxien U21 (Tunisia).
  • 2020/21 – Aliendelea kuonesha kiwango kizuri na kupandishwa kwenye kikosi cha wakubwa cha CS Sfaxien.
  • 2023/24 – Aliondoka CS Sfaxien na kujiunga na Al-Waab SC ya Qatar.
  • 2025/26 – Baada ya kuachana na Al-Waab SC, Camara alikuwa bila klabu kwa muda mfupi kabla ya kusajiliwa na Simba SC.
SOMA HII  Chama Ajiunga na Singida Black Stars kwa Mkataba wa Mwaka Mmoja

Kulingana na takwimu za thamani ya soko, wakati anaondoka Al-Waab SC thamani yake ilikuwa karibu €350k, ishara kuwa bado ni mchezaji mwenye thamani kubwa katika soka la kimataifa.

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Wasifu CV ya Neo Maema Kiungo Mpya wa Simba 2025/2026

Klabu ya Simba SC imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo...

Ratiba ya Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 Hatua ya Awali

Droo ya mashindano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF)...

Timu 12 Zitakazoshiriki Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2025

Timu 12 Zitakazoshiriki Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2025 Timu...

Wasifu CV Ya Mohamed Doumbia Kiungo Mpya wa Yanga 2025/2026

Mu Ivory Coast, Mohamed Doumbia (26) ametambulishwa na timu...

Orodha ya Wafungaji Bora CHAN 2025

Orodha ya Wafungaji Bora CHAN 2025, Michuano ya CHAN...

Kikosi cha Taifa Stars vs Morocco Leo 22 August 2025 CHAN

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itacheza mchezo...

Wasifu CV Ya Rushine De Reuck Beki Mpya wa Simba 2025/2026

Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi beki wa kati, Rushine...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...