Droo ya Kombe la Shirikisho CAF 2025/2026 | CAF Confederation Cup

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Droo ya michuano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa msimu wa 2025/2026, ikiwemo Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho, imefanyika rasmi, na matokeo yake yamewaweka wawakilishi wa Tanzania Yanga SC, Simba SC, Azam FC na Singida Black Stars kuanzia hatua ya awali wakiwa ugenini. Droo hiyo ilipangwa katika Studio za Azam Media, Dar es Salaam, na imeashiria rasmi mwanzo wa safari ya vilabu 58 kutoka bara zima kuelekea hatua ya makundi na hatimaye taji la heshima la klabu Afrika.

Ratiba Rasmi ya Hatua za Awali

Kwa mujibu wa CAF, hatua ya awali ya Kombe la Shirikisho 2025/2026 itaanza kati ya 19–21 Septemba 2025 kwa mechi za kwanza, ikifuatiwa na mechi za marudiano kati ya 26–28 Septemba 2025. Timu zitakazofaulu zitatinga raundi ya pili ya awali, itakayochezwa kati ya 17–19 Oktoba 2025 (mechi ya kwanza) na 24–26 Oktoba 2025 (mechi ya marudiano). Mshindi wa raundi hiyo atafuzu hatua ya makundi itakayoanza 21 Novemba 2025, kabla ya kuingia hatua ya mtoano mnamo 13 Machi 2026.

SOMA HII  Wasifu CV Ya Rushine De Reuck Beki Mpya wa Simba 2025/2026

Mechi za Wawakilishi wa Tanzania Katika Michuano ya CAF

  1. Yanga SC – Mabingwa wa Ligi Kuu Bara watakabiliana na Wiliete Benguela ya Angola katika hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, wakiwa na lengo la kwenda mbali zaidi baada ya msimu uliopita kuishia hatua ya makundi.
  2. Simba SC – Watani wa jadi wa Yanga na washiriki wa msimu uliopita wa Kombe la Shirikisho, ambapo walifika fainali, watakutana na Gaborone United ya Botswana.
  3. Azam FC – Wawakilishi wa Kombe la Shirikisho watakutana na EL Mereikh ya Sudan. Azam, ambayo msimu uliopita iliishia hatua ya awali, sasa iko chini ya Kocha Florent Ibenge na inalenga kufuata nyayo za Namungo FC, waliowahi kufika hatua ya makundi.
  4. Singida Black Stars – Kwa mara ya kwanza kushiriki michuano ya kimataifa, Singida itakabiliana na Rayon Sports ya Rwanda, inayonolewa na Robertinho Oliveira, aliyewahi kuifundisha Simba. Timu hii imepigiwa upatu kutokana na uwekezaji mkubwa na uzoefu wa Kocha Miguel Gamondi.
SOMA HII  Orodha ya Wafungaji Bora CHAN 2025

Droo ya Kombe la Shirikisho CAF 2025/2026

Droo ya Kombe la Shirikisho CAF 2025/2026

Jumla ya vilabu 58 vitashiriki katika Kombe la Shirikisho CAF 2025/2026, ambapo baadhi ya vigogo wa soka barani wamepewa nafasi ya moja kwa moja kuanzia raundi ya pili kutokana na alama zao za CAF Club Ranking. Miongoni mwao ni Wydad AC (Morocco), USM Alger (Algeria), CR Belouizdad (Algeria), Zamalek SC (Misri), Al Masry SC (Misri) na Stellenbosch FC (Afrika Kusini).

Timu Ya Kwanza Timu Ya Pili
Asante Kotoko Kwara Utd
Génération Foot Amadou Diallo
Bhantal Fc Hafia Sc
Usfa As Gbohloe-Su
Abia Warriors Djoliba Ac
Asn Nigelec Ocs
Stade Tunisien Asc Snim
Aigle Royal Fc San Pedro
Black Man Warrior Coton Sport
Dekadaha Fc Alzamala Umr
Wolitta Dicha Sc Libya 2
Nec Fc Nairobi Utd. Fc
Al Ahli Madani Ess
As Port Kmkm Sc
El Merriekh Bentiu Azam Fc
Flambeau Du Centre Libya 1
Rayon Sport Fc Singida Black Stars
Foresters Fc Fc 15 Agosto
Fc 105 Zesco Utd
M. Wanderers Jwaneng Galaxy
Rd Congo 2 Djabal Fc
Kabuscorp De P Kaizer Chiefs
Rd Congo 1 Pamplemousses
Young Africans Fc Royal Leopards
F. De Maputo As Fanalamanga
Cd 1 Agosto As Otohô
SOMA HII  Ratiba ya Robo Fainali ya CHAN 2025

 

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Wasifu CV ya Neo Maema Kiungo Mpya wa Simba 2025/2026

Klabu ya Simba SC imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo...

Ratiba ya Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 Hatua ya Awali

Droo ya mashindano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF)...

Timu 12 Zitakazoshiriki Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2025

Timu 12 Zitakazoshiriki Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2025 Timu...

Wasifu CV Ya Mohamed Doumbia Kiungo Mpya wa Yanga 2025/2026

Mu Ivory Coast, Mohamed Doumbia (26) ametambulishwa na timu...

Orodha ya Wafungaji Bora CHAN 2025

Orodha ya Wafungaji Bora CHAN 2025, Michuano ya CHAN...

Kikosi cha Taifa Stars vs Morocco Leo 22 August 2025 CHAN

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itacheza mchezo...

Wasifu CV Ya Rushine De Reuck Beki Mpya wa Simba 2025/2026

Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi beki wa kati, Rushine...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...