Jinsi ya Kujisajili na Kutuma Maombi Ya Walimu Kupitia OTEAS

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Jinsi ya Kujisajili na Kutuma Maombi Ya Walimu Kupitia OTEAS (Online Teachers Employment Application System) ni mfumo wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) nchini Tanzania unaotumika kwa walimu kuwasilisha maombi ya ajira mtandaoni.

Ili kujiandikisha na kutuma maombi kupitia OTEAS, fuata hatua zifuatazo:

HATUA ZA KUJISAJILI NA KUTUMA MAOMBI KUPITIA OTEAS (TSC)

1. Tembelea Tovuti ya OTEAS

SOMA HII  Sifa, Vigezo na Masharti ya Kujiunga na Jeshi la Uhamiaji

2. Bonyeza “Register” ili Kujisajili (Kwa Mara ya Kwanza)

Kama huna akaunti, fanya yafuatayo:

  • Bonyeza “Register”
  • Jaza taarifa zako za msingi:
    • Jina Kamili
    • Namba ya NIDA
    • Tarehe ya Kuzaliwa
    • Jinsia
    • Barua pepe
    • Namba ya simu
    • Password (neno la siri)

Hakikisha unahifadhi password yako mahali salama.

3. Ingia (Login) Kwenye Akaunti

  • Baada ya kujisajili, rudi kwenye ukurasa wa mwanzo
  • Ingiza barua pepe na neno la siri (password) kisha bonyeza “Login”

4. Jaza Taarifa Zako za Kitaaluma na Kibinafsi

Mara baada ya kuingia:

  • Jaza:

    • Elimu (Education history)
    • Uzoefu wa kazi (Work experience) (ikiwa unayo)
    • Ujuzi wa kompyuta (ICT Skills)
    • Maelezo mengine ya kitaaluma
SOMA HII  Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi JWTZ

Hakikisha unaweka vyeti vyote muhimu (form IV, VI, Diploma/Degree, TCU/NACTE validation n.k.)

5. Pakia Nyaraka Muhimu (Upload Documents)

  • Pakia nakala za vyeti:

    • Cheti cha kuzaliwa
    • Cheti cha elimu ya sekondari (Form IV, VI)
    • Cheti cha Diploma au Degree
    • Cheti cha ualimu
    • Barua ya utambulisho kutoka kwa Serikali ya Mtaa (ikiwepo)
    • NIDA card au namba

File ziwe kwenye format ya PDF au JPEG, na ziwe na ukubwa unaokubalika.

6. Tazama Nafasi za Ajira Zinazotangazwa

  • Bonyeza sehemu ya “Vacancies” au “Tangazo la Kazi”
  • Soma masharti ya nafasi unayotaka

7. Tuma Maombi ya Ajira

  • Chagua tangazo la kazi unalolenga
  • Bonyeza “Apply”
  • Thibitisha taarifa zako zote ziko sahihi
  • Bonyeza “Submit” au “Tuma Maombi”
SOMA HII  Tarehe ya Mwisho Wa Kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Magereza 2025

Baada ya kutuma maombi, unaweza kuona hali ya maombi yako kupitia akaunti yako.

8. Chapisha Nakala ya Maombi (Optional)

  • Unaweza kupakua au kuchapisha (“Print”) nakala ya maombi yako kwa kumbukumbu ya baadaye.

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

  • Tumia email inayofanya kazi kwa taarifa zote za mawasiliano
  • Pakua vyeti vilivyothibitishwa kutoka TCU au NACTE (validation)
  • Usitumie taarifa za uongo — unaweza kufutiwa maombi
  • Angalia mara kwa mara akaunti yako kwa updates

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Tarehe ya Mwisho Wa Kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Sifa za Kujiunga na Jeshi la Magereza Tanzania 2025

Jeshi la Magereza ni miongoni mwa vyombo muhimu vya...

Jinsi ya Kujisajiri na Mfumo wa Maombi ya Ajira TAMISEMI

Serikali ya Tanzania kupitia Ofisi ya Rais - Tawala...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...