Jinsi ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV kwa Njia Rahisi za Malipo ya Simu

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Je, wewe ni mpenzi wa burudani za Azam TV? Unatamani kufurahia mechi za Ligi Kuu Tanzania, tamthilia kali, habari mpya motomoto, na makala mbalimbali za kielimu? Huna haja ya kusumbuka tena! Mwongozo huu utakuelekeza jinsi ya kulipia king’amuzi cha Azam kwa haraka na urahisi

Azam TV ni chaguo maarufu kwa Watanzania wanaotafuta burudani ya kipekee, ikiwa na vipindi vya michezo, tamthilia, habari, na makala za kielimu. Ikiwa wewe ni mpenzi wa burudani kutoka Azam TV, basi mwongozo huu utakuonyesha jinsi ya kulipia king’amuzi chako kwa urahisi mwaka huu wa , bila ya kujitahidi au kutoka nyumbani.

Azam TV imejijengea jina kwa kutoa vifurushi vinavyokidhi mahitaji ya familia mbalimbali. Ikiwa unahitaji kufuatilia mechi za Ligi Kuu Tanzania au kupiga hesabu kwenye tamthilia zako unapenda, Azam TV inatoa vifurushi mbalimbali kwa bei nafuu. Lakini kabla ya kufurahiya uhondo wa Azam TV, ni lazima ulipie kifurushi chako. Hapa tunakuelekeza jinsi ya kufanya malipo kwa kutumia njia rahisi za simu za mkononi.

SOMA HII  Jinsi Ya Kufahamu Bidhaa Feki Kwenye Biashara

Vifurushi vya Azam TV : Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV inatoa vifurushi mbalimbali vya kulipia, na kila kifurushi kimebuniwa ili kutoa aina maalum ya burudani kwa mtumiaji. Hizi ni baadhi ya vifurushi vinavyopatikana mwaka huu:

  • Azam Lite: Kwa shilingi 12,000, pata burudani ya kutosha na chaneli maarufu.
  • Azam Pure: Furahia chaneli zaidi kwa shilingi 19,000.
  • Azam Plus: Pata uhondo kamili kwa shilingi 28,000, ikiwemo michezo na tamthilia.
  • Azam Play: Fikia kiwango cha juu cha burudani kwa shilingi 35,000, chagua kutoka kwa chaneli bora zaidi.
Vifurushi vya Azam TV

Jinsi ya Kulipia King’amuzi cha Azam TV kwa Njia Rahisi za Malipo ya Simu

Kwa kutumia maendeleo ya kiteknolojia, sasa unaweza kulipia king’amuzi cha Azam TV kwa urahisi kupitia simu yako ya mkononi bila kutoka nyumbani. Hii inafanya malipo kuwa rahisi na ya haraka. Fuata hatua hizi ili kulipia kifurushi cha Azam TV kupitia huduma mbalimbali za malipo ya simu:

SOMA HII  Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuanza Biashara

1. Jinsi ya Kulipia King’amuzi cha Azam kwa M-Pesa:

  • Piga *150*00#
  • Chagua Lipa kwa M-Pesa
  • Chagua Namba 4 – Malipo ya Kampuni
  • Chagua Namba 3 – Chagua Kwenye Orodha
  • Chagua Namba 1 – King’amuzi
  • Chagua Namba 5 – Azam TV
  • Weka namba ya kadi
  • Chagua bei ya kifurushi unachotaka
  • Weka Namba ya Siri
  • Bonyeza 1 kuthibitisha

2. Jinsi ya Kulipia King’amuzi cha Azam kwa Airtel Money:

  • Piga *150*60#
  • Chagua Lipa Bili
  • Chagua “Chagua Kampuni”
  • Chagua “TV Ving’amuzi”
  • Chagua “Azam”
  • Weka namba ya kadi ya Azam
  • Weka kiasi
  • Bonyeza 1 Kukubali
  • Weka Pini yako

3. Jinsi ya Kulipia King’amuzi cha Azam kwa Tigo Pesa / Mixx by Yas:

  • Piga *150*01#
  • Chagua “Lipa Bili”
  • Chagua “Kupata majina ya kamapuni”
  • Chagua “King’amuzi”
  • Chagua “Azam Pay TV”
  • Weka Kumbukumbu Namba (Akaunti ya Azam TV)
  • Ingiza kiasi
  • Ingiza namba ya siri kuhakiki

4. Jinsi ya Kulipia King’amuzi cha Azam kwa Halotel:

  • Piga *150*88#
  • Chagua “Lipa Bili”
  • Chagua “Kifurushi cha Azam TV”
  • Weka kiasi cha malipo unachotaka kulipa
  • Ingiza Namba ya Marejeleo ya Akaunti yako ya Azam TV
  • Weka Pini yako ya Halotel
  • Bonyeza 1 ili kuthibitisha malipo
SOMA HII  Jinsi Ya Kupata Mkopo wa Biashara Bila Masharti Magumu

5. Kama unataka kubadili kifurushi na kujiunga kifurushi

  • Piga *150*50*5#
  • Chagua Namba 2
  • Ingiza namba ya kadi
  • Chagua kifurushi unachotaka kubadilisha
  • Ingiza Namba ya Marejeleo ya Akaunti yako ya Azam TV
  • Pia unawez tumia menu hii kuangalia salio, kujitumia ujumbe wa kufungua kisimbuzi chako pamoja na kusajili huduma mpya.

Hitimisho

Hivyo, sasa umepata mwongozo rahisi wa kulipia king’amuzi cha Azam TV mwaka . Kwa kutumia huduma za malipo ya simu kama M-PesaAirtel MoneyTigo Pesa (Mixx by Yas), na Halotel, unaweza kufurahia burudani ya Azam TV bila kusumbuka. Hii ni njia rahisi, haraka, na ya kisasa inayokuwezesha kufurahia vipindi unavyovipenda kwa muda wowote na mahali popote.

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Jinsi ya Kupata Pesa kwa Biashara Ya Upigaji wa Picha Tanzania

Jinsi ya Kupata Pesa kwa Biashara Ya Upigaji wa...

Biashara Ndogo Ndogo Zenye Mtaji Kidogo

Biashara Ndogo Ndogo Zenye Mtaji Kidogo, Biashara ndogondogo zenye...

Jinsi ya kuandaa Tangazo La biashara kwa urahisi

Jinsi ya kuandaa Tangazo La biashara kwa urahisi, Kuandaa...

Bei Mpya Vifurushi vya Azam TV | Gharama Mpya za Vifurushi vya Azam TV

Bei Mpya Vifurushi vya Azam TV, Azam TV imekuwa...

Jinsi Ya Kulipia Vifurushi Vya Startimes

Startimes ni moja ya kampuni kubwa za utoaji huduma...

Hatua za Kuanzisha Biashara ya Chupi kwa Tanzania

Biashara ya nguo za ndani ni miongoni mwa Biashara...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...