Jinsi ya Kuondoa michirizi kwenye ngozi kwa njia za Asili zisizo na Madhara

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Fahamu namna ya  Kuondoa michirizi kwenye ngozi iliyosababishwa na Uzazi au unene kwa njia za Asili zisizo na Madhara,Mara nyingi Wanawake wanapopata ujauzito tumbo hutanuka kuliko kawaida ili mtoto aweze pata nafasi ya kukaa pindi anapojifungua tumbo linaporudi huacha michirizi ambayo hugeua kuwa kero kwa wanawake wengi kani huharibu urembo wa mwanamke ,Tumekuandalia makala hii kukupa suluhisho jinsi ya kuondoa michirizi.

Michirizi au cellulite ni kitu gani?

Cellulite ni mwonekano wa mikunjokunjo na mistari kwenye ngozi ya mwili. Mistari hii hutokea zaidi kwenye eneo la tumbo, chini ya mikono, kwenye mapaja na matako. Michirizi hutokea zaidi kadiri umri unavoenda. Baadhi ya vitu vinavyoletekeza mikunjokunjo kwenye ngozi ni pamoja na kuvurugika kwa homoni, pamoja na kutokufanya mazoezi.

Jinsi ya Kuondoa michirizi kwenye ngozi kwa njia za Asili zisizo na Madhara
Jinsi ya Kuondoa michirizi kwenye ngozi kwa njia za Asili zisizo na Madhara

Aina za Michirizi kulingana na Eneo la Mwili:

  • Tinea corporis – Michirizi huonekana kwa mwili (trunk, miguu, mikono), ina mzunguko wa ngozi wenye ukingo mkali na ukungu katikati.

  • Tinea faciei – Michirizi inayoonekana usoni (isiyo kwenye ndevu), inaweza kuonekana kama mviringo mwekundu au wa kahawia wenye ukoko.

  • Tinea pedis (Athlete’s foot) – Huathiri miguu, hasa kati ya vidole; ushuhuda ni kuvimba, kuuma, ukokotoo, kulainika, na kutoa harufu mbaya

  • Tinea cruris (Jock itch) – Michirizi katika eneo la viungo vya chini (groin), inaweza kuenea hadi magoti au mkia, na kuwa yenye ukungu na kukasirika.

  • Tinea manuum – Mira huathiriwa wakati michirizi kutoka kwenye miguu inasambaa kwa mikono. Hii inaweza kusababisha ganda kavu, kuvimba, na mviringo wa ngozi.

SOMA HII  Jinsi ya kutengeneza DETOX ya kupunguza Tumbo na Uzito kwa Urahisi

Wanawake wanapata zaidi Michirizi kuliko Wanaume

Tatizo hili huwatokea zaidi wanawake kuliko wanaume ambapo kutokana na unene. Unene kupita kiasi hupelekea leya ya ndani yenye mafuta (fat globules) kuwa na msuguano na tishu za ngozi na hivo kupelekea mikunjokunjo na michirizi kwenye ngozi.

Tafiti zinasema kwamba asilimia 80 ya wanawake wana tatizo hili la cellulite. Ambapo wengi wanalipata kadiri wanavozeeka kwa ngozi kupungua uwezo wa kuvutika na kusababisha nyama kuanguka na kuleta mikunjokunjo.

Kuwa na michirizi siyo tatizo kubwa kiafya ndio maana wengi huliacha kama lilivyo bila kushughulika nalo. Lakini kama wewe ni mwanamke unayependa urembo na unapenda kujiachia maeneo kama beach na sehemu za wazi basi hiki kitakuwa kikwazo sana. Maana utaogopa kuonekana na watu kwamba ngozi yako ina kasoro ndio maana nimeandika makala hii ikusaidie.

Nini kinasababisha Michirizi Kwenye Ngozi

Mazingira hatarishi na sababu zinazochangia upate mikunjokunjo na michirizi kwenye ngozi ni pamoja na

  • lishe mbovu
  • mwili kubakiza maji tumboni (fluid retention ambapo wakati mwingie hupelekea tumbo kujaa gesi)
  • damu kutozunguka vizuri
  • udhaifu wa tishu zenye collagen na kuepelekea kujikunja kiurahisi
  • mabadiliko ya homoni
  • mwili kukosa mazoezi na kutoshugulika
  • msongo wa mawazo kupita kiasi ambao hupunguza uzalishaji wa collagen: collagen ni kiungo kilichosheni protini ambacho kinatengeneza shape na tishu za ngozi, hivo kufanya ngozi ya mtu kuonekana bado changa.
  • historia ya magonjwa mfano magonjwa ya autoimmune, kisukari, watu wanaovuta sigara na wenye alegi/mzio.
SOMA HII  Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Sasa umejifunza jinsi sababu za kimaisha zinavoharibu mwonekano wa ngozi yako na tayari umejua chanzo cha tatizo lako kuwa ni kwenye lishe. Ni wazi sasa kwamba dawa na cream za kupata kwenye ngozi au mikanda ya kuvaa ili upunguze michirizi siyo suluhisho salama na la kudumu. Bali unatakiwa kubadili mtindo wa maisha  kwenye lishe na kuweka ratiba ya mazoezi.

Tiba Asili ili Kuondoa Michirizi na Mikunjokunjo kwenye Ngozi Yako

Hizi ni njia zangu 5 zitakazokusaidia kuondoa shida ya michirizi.
Angalizo: Kama wewe unataka njia za haraka haraka basi hutazipata hapa. Maana ninaelekeza namna ya kubadili mtindo wa maisha ili uepuke tatizo miaka yote, na itachukua muda kupata matokeo.

1.Kula Lishe Bora

Kama tulivosoma pale juu kuna uhusiano mkubwa kati ya uzito mkubwa na kitambi na kupata mikunjokunjo. Hivo punguza vyakula vya wanga na sukari na kula zaidi vyakula vya mafuta kama nyama, parachichi, nazi na mafuta ya nazi, samaki nk. Weka ratiba ya kupunguza unene wako uliopitiliza kwa kufanya mazoezi na kushugulisha mwili wako.

2.Tumia Collagen ya Kutosha

Kama tulivojifunza mwanzoni ni kwamba tishu za ngozi zimetengenezwa kwa protini za collagen. Kwahiyo kama ngozi yako ipo imara basi utapunguza uwezekano wakupata mikunjokunjo. Collagen ni protini inayopatikana kwa wingi kwenye ngozi na husaidia kuvutika na kufanya ngozi kuwa hai na laini.

Chanzo kizuri cha Collagen ni kunywa supu ya mifupa (bone broth) . Supu ya mifupa ina amino acid kwa wingi ambazo hutengeneza collagen. Collagen iliyopo kwenye Supu ya mifupa  husaidia kuimarisha tishu za ngozi na kuondoa tatizo la cellulite.

SOMA HII  Dawa ya Michirizi Mapajani

3.Tumia virutubisho

Virutubisho vya kuondoa mikunjokunjo kwenye ngozi na michirizi (anti-cellulite suppliments): Unaweza kufika ofsini kwetu ukatumia virutubisho kama royal gel na sipiriluna vikakusaidia kupambana na tatizo lako bila kikwazo.

4.Fanya mazoezi kila mara

Mazoezi ni njia nzuri sana pale unapotaka kupunguza uzito. Tumeona pale juu athari za uzito mkubwa na kitambi kwenye kupata mikunjokunjo, pamoja na kula lishe nzuri ni muhimu sasa uweke ratiba ya kufanya mazoezi walau mara tatu kwa week.

5.Tumia mafuta asili ya nazi kwenye kutibu ngozi yako.

Unaweza kutumia mafuta halisi ya nazi kwa kupaka kwenye ngozi yako baada ya kuoga. Kumbuka cream za madukani zinaweza kuwa ghali na hatari kwa afya yako kwa maana zina kemikali na metali nzito ambazo ni sumu kwa afya ya ngozi.

Maelezo ya Mwisho pale Unapopambana na michirizi+mikunjokunjo

  • Cellulite ni mwonekano wa mikunjokunjo kwenye ngozi na hii ni kutokana na kusuguana kwa tabaka la mafuta na tishu za ngozi
  • Sababu zinazopelekea upate mikunjokunjo kwenye ngozi ni pamoja na uzito mkubwa, lishe mbaya, kubakiza maji ama mwili kukosa kabisa maji, matatizo kwenye usafirishaji mwilini na udhaifu wa tishu zenye collagen kwenye ngozi
  • Kupunguza uzito, kula vyakula asili vyenye kambakamba na kufanya mazoezi ,  husaidia kupunguza sana tatizo la cellulite.

Jinsi ya Kujikinga na Michirizi:

  • Osha na kavu mikono, miguu, na sehemu nyeti kwa uangalifu.
  • Usishiriki vitu kama taulo, viatu, nguo au vifaa vya nywele.
  • Vaa visivyo visivyo zuia hewa na badilisha soksi kila siku.
  • Epuka kukaa kwa muda mrefu katika mazingira yenye unyevu mwinuka (mfano: bafu za umma).

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Jinsi ya kutengeneza DETOX ya kupunguza Tumbo na Uzito kwa Urahisi

Huna haja ya kupoteza pesa kwa kununua madawa ya...

Dawa ya Michirizi Mapajani

Michirizi mapajani (stretch marks) ni mistari ya rangi tofauti...

Vyakula vya Kuongeza Nguvu za Kiume | Matunda Ya Kuongeza Nguvu za Kiume

Vyakula vya Kuongeza Nguvu za Kiume, Nguvu za kiume...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya...

Vifurushi vya Bima ya Afya Jubilee

Vifurushi vya Bima ya Afya Jubilee, Karibu kwenye makala...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...