Makato ya Kutoa Fedha kwenye ATM za CRDB

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Makato ya Kutoa Fedha kwenye ATM za CRDB. Ni muhimu kufahamu gharama hizi ili uweze kupanga matumizi yako ya benki vizuri.

CRDB Bank hutoa huduma mbalimbali za kibenki, ikiwa ni pamoja na matumizi ya ATM kwa ajili ya kutoa pesa taslimu. Benki inatoza ada kwa huduma hii, na ada hutofautiana kulingana na kiasi unachotoa.

Makato ya Kutoa Fedha kwenye ATM za CRDB

Hapa chini kuna jedwali linaloonyesha makato ya CRDB ATM:

Kiasi cha Utoaji (TZS) Makato (TZS)
5,000 – 19,999 1,200
20,000 – 49,999 1,300
50,000 – 99,999 1,500
100,000 – 199,999 1,600
200,000 – 399,999 1,700
400,000 – 499,999 2,200
500,000 – 599,999 2,500
600,000 – 799,999 3,000
800,000 – 1,000,000 4,000
SOMA HII  Ratiba ya Treni Za Mwendokasi SGR: Dar – Morogoro – Dodoma

 

CRDB pia inatoza ada kwa wateja wanaotumia ATM za benki nyingine ndani na nje ya nchi. Utoaji wa pesa taslimu kutoka kwa ATM za benki zingine za ndani hugharimu TZS 4,720.

Utoaji wa pesa taslimu kutoka kwa ATM za benki zingine nje ya nchi hugharimu TZS 10,030 pamoja na 1% ya kiasi unachotoa.

Mbali na ATM, CRDB inatoa njia zingine za kibenki kama vile SimBanking na mashine za kuweka fedha. SimBanking inakuwezesha kufanya miamala mbalimbali kupitia simu yako ya mkononi, kama vile kuhamisha fedha, kulipa bili, na kununua muda wa maongezi.

Mashine za kuweka fedha (CDM) zinawawezesha wateja kuweka fedha kwenye akaunti zao bila msaada wa mtoa huduma wa benki. Mashine hizi zinakubali noti za TZS 5,000 na TZS 10,000 pekee.

SOMA HII  Faida za Kusoma Vitabu Kwenye Maisha

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Jinsi ya Kupata Pesa kwa Biashara Ya Upigaji wa Picha Tanzania

Jinsi ya Kupata Pesa kwa Biashara Ya Upigaji wa...

Biashara Ndogo Ndogo Zenye Mtaji Kidogo

Biashara Ndogo Ndogo Zenye Mtaji Kidogo, Biashara ndogondogo zenye...

Jinsi ya kuandaa Tangazo La biashara kwa urahisi

Jinsi ya kuandaa Tangazo La biashara kwa urahisi, Kuandaa...

Bei Mpya Vifurushi vya Azam TV | Gharama Mpya za Vifurushi vya Azam TV

Bei Mpya Vifurushi vya Azam TV, Azam TV imekuwa...

Jinsi Ya Kulipia Vifurushi Vya Startimes

Startimes ni moja ya kampuni kubwa za utoaji huduma...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...