Makato ya kutuma Pesa M-Pesa kwenda CRDB, Unapohitaji kuhamisha pesa kutoka akaunti yako ya M-Pesa kwenda CRDB, ni muhimu kufahamu gharama zilizopo ili uweze kupanga vizuri.
Makato ya kutuma Pesa M-Pesa kwenda CRDB
Unapotuma pesa kutoka M-Pesa kwenda NMB, makato yafuatayo yanatumika:
Kiasi cha Pesa (TZS) | Makato (TZS) |
---|---|
1,000 – 9,999 | 400 |
10,000 – 19,999 | 400 |
20,000 – 49,000 | 550 |
50,000 – 99,999 | 700 |
100,000 – 199,999 | 900 |
200,000 – 299,999 | 1,200 |
300,000 – 399,999 | 1,450 |
400,000 – 1,000,000 | 1,450 |
Jinsi ya Kutuma Pesa Kutoka M-Pesa Kwenda CRDB
Unaweza kutuma pesa kutoka M-Pesa (Tanzania) kwenda CRDB Bank kupitia huduma ya M-Pesa to Bank. Hivi ndivyo unavyoweza kufanya:
Njia ya USSD (15000#)
- Piga
*150*00#
- Chagua 4: Lipa kwa M-Pesa
- Chagua 5: Benki
- Chagua 1: Weka kwenye akaunti ya benki
- Chagua CRDB Bank
- Ingiza namba ya akaunti ya CRDB unayotaka kutuma
- Weka kiasi cha kutuma
-
Thibitisha kwa PIN yako ya M-Pesa
Kupitia M-Pesa App
- Fungua M-Pesa App
- Chagua Bank Transfer
- Chagua CRDB Bank
- Weka namba ya akaunti ya CRDB
- Weka kiasi cha kutuma
- Thibitisha muamala kwa PIN / fingerprint / Face ID