Ratiba ya Dabi ya Kariakoo 2025/2026 | Tarehe za Mechi za Simba Vs Yanga

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Mahasimu wakuu wa soka nchini Tanzania, Simba SC na Yanga SC, wanatarajiwa kuanza kuchochea moto wa msimu mpya wa Ligi Kuu NBC 2025/2026 kwa staili ya kipekee.

Kwa mujibu wa ratiba rasmi iliyotolewa na Bodi ya Ligi (TPLB), timu hizi zitakutana kwa mara ya kwanza katika fainali ya Ngao ya Jamii itakayofanyika Septemba 16, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, kuanzia saa 11:00 jioni, na mechi hiyo itarushwa mubashara kupitia AzamSports1HD.

Mechi hii ya Ngao ya Jamii ndiyo itakayopiga jalambo la msimu mpya, huku mashabiki wa kandanda wakisubiri kwa hamu kuona nani ataibuka kidedea kati ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu na washindi wa Kombe la FA.

SOMA HII  Wasifu CV ya Moussa Balla Conte Mchezaji Mpya wa Yanga Sc 2025/2026

Tarehe za Mechi za Simba VS Yanga 2025/2026: Ratiba ya Dabi ya Kariakoo

Ratiba ya Dabi ya Kariakoo 2025/2026 | Tarehe za Mechi za Simba Vs Yanga

Kwa mashabiki wa Dabi ya Kariakoo, hadi sassa msimu huu unatoa mechi tatu kubwa za kukata na shoka kati ya vigogo hawa.

Ikumbukwe pia vigogo hawa wanaweza kukutana kwenye michuano mengine ambayo bado ratiba yake haijatangazwa ikiwemo kombe la FA la Tanzania.

  • Ngao ya Jamii: Septemba 16, 2025 – Benjamin Mkapa, Dar es Salaam
  • Ligi Kuu NBC (Duru ya Kwanza): Desemba 13, 2025 – Benjamin Mkapa, Yanga wakiwa wenyeji
  • Ligi Kuu NBC (Duru ya Pili): Aprili 4, 2026 – Benjamin Mkapa, Simba wakiwa wenyeji

Hii ndiyo ratiba inayotarajiwa kuandika historia mpya ya Dabi ya Kariakoo 2025/2026, huku kila mechi ikitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa na mvuto wa aina yake kutoka kwa mashabiki ndani na nje ya Tanzania.

SOMA HII  Muda wa Mchezo wa Tanzania Vs Morocco CHAN 22/08/2025

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Wasifu CV ya Neo Maema Kiungo Mpya wa Simba 2025/2026

Klabu ya Simba SC imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo...

Wasifu CV Ya Mohamed Doumbia Kiungo Mpya wa Yanga 2025/2026

Mu Ivory Coast, Mohamed Doumbia (26) ametambulishwa na timu...

Ratiba ya Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 Hatua ya Awali

Droo ya mashindano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF)...

Timu 12 Zitakazoshiriki Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2025

Timu 12 Zitakazoshiriki Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2025 Timu...

Kikosi cha Taifa Stars vs Morocco Leo 22 August 2025 CHAN

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itacheza mchezo...

Orodha ya Wafungaji Bora CHAN 2025

Orodha ya Wafungaji Bora CHAN 2025, Michuano ya CHAN...

Wasifu CV Ya Rushine De Reuck Beki Mpya wa Simba 2025/2026

Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi beki wa kati, Rushine...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...