Ratiba ya Taifa Stars Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia 2026

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Ratiba ya Taifa Stars Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia 2026, Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inaendelea na kampeni yake ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026, ikishika nafasi ya tatu katika kundi E.

Baada ya kucheza mechi tatu za awali, Taifa Stars ilishinda michezo miwili, kupoteza mmoja na kujikusanyia pointi 6 na hivyo kuacha matumaini ya kufuzu.

Msimamo wa Kundi E

Kwa sasa, nafasi ya Taifa Stars kwenye kundi hili bado ni nzuri, lakini inahitaji matokeo mazuri katika mechi zijazo ili kujikatia tiketi ya kucheza fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza katika historia.

Ratiba ya Taifa Stars Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Ratiba ya Michezo Inayofuata ya Taifa Stars

  1. 26 Machi 2025 – 🇲🇦 Morocco vs Tanzania
  2. 1 Septemba 2025 – 🇨🇬 Congo vs Tanzania
  3. 8 Septemba 2025 – 🇹🇿 Tanzania vs Niger
  4. 6 Oktoba 2025 – 🇹🇿 Tanzania vs Zambia
SOMA HII  Wasifu CV ya Naby Camara Beki Mpya Simba 2025/26
Ratiba ya Taifa Stars Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia 2026
Ratiba ya Taifa Stars Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Ikiwa Stars inaweza kushinda mechi zake za nyumbani na kupata angalau sare au kushinda katika mechi zao za ugenini, basi nafasi yao ya kufuzu itaongezeka maradufu.

Mashabiki wa Taifa Stars watakuwa na matumaini ya kuiona timu yao ikipambana vilivyo kuhakikisha Tanzania inashiriki kwa mara ya kwanza Kombe la Dunia 2026.

Hot this week

Nafasi za Kazi Jeshi la Magereza 2025

Jeshi la Magereza limetangaza nafasi mpya za ajira kwa...

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA | Hatua kwa hatua

Namna Ya Kuangalia Taarifa Za Usajili NIDA, Kuangalia taarifa...

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu Mtandaoni (OTEAS)

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Walimu...

Orodha ya Vifurushi vya Azam TV na Bei zake – Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Azam TV imekuwa sehemu muhimu ya burudani ndani ya...

Sample/Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Magereza

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la...

Wasifu CV ya Neo Maema Kiungo Mpya wa Simba 2025/2026

Klabu ya Simba SC imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo...

Ratiba ya Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 Hatua ya Awali

Droo ya mashindano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF)...

Timu 12 Zitakazoshiriki Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2025

Timu 12 Zitakazoshiriki Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2025 Timu...

Wasifu CV Ya Mohamed Doumbia Kiungo Mpya wa Yanga 2025/2026

Mu Ivory Coast, Mohamed Doumbia (26) ametambulishwa na timu...

Kikosi cha Taifa Stars vs Morocco Leo 22 August 2025 CHAN

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itacheza mchezo...

Orodha ya Wafungaji Bora CHAN 2025

Orodha ya Wafungaji Bora CHAN 2025, Michuano ya CHAN...

Wasifu CV Ya Rushine De Reuck Beki Mpya wa Simba 2025/2026

Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi beki wa kati, Rushine...

Related Articles

Popular Categories

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS

Njia Rahisi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kwa SMS, Kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS ni rahisi na haraka. Njia hii ni...

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume

Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Ni shauku ya kila mzazi kupata Watoto wa Jinsia tofauti katika uzao wao ingawaje Wengi hupata watoto wa...

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel | Menu ya kukopa Salio Halotel

Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel, Je Unatumia mtandao wa simu wa halotel na umekwama na hujui hatua ,sifa na vigezo za kupata...