Marekebisho ya mishahara yaliyoanza kutekelezwa yameleta ongezeko la asilimia tofauti kwa ngazi mbalimbali za watumishi. Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale, Miongoni mwa mabadiliko makubwa ni pamoja na/Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale:
Kima cha chini cha mshahara kimeongezeka kwa asilimia 23.3, kutoka shilingi 300,000 kwa mwezi hadi shilingi 370,000 kwa mwezi/Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale.
Ngazi nyingine za mishahara pia zimeboreshwa, na ongezeko limegawanywa kulingana na sifa za elimu, uzoefu, na nafasi za kazi katika utumishi wa umma/Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale.
Makundi ya Mishahara kwa Watumishi wa Umma (TGS Salary Scale 2024)
Viwango vya mishahara kwa mwaka 2024 vinafuata mfumo wa Tanzania Government Scale (TGS), ambapo mishahara imegawanywa katika ngazi za TGS A – TGS J kama ifuatavyo, Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale:
Ngazi ya TGS A: Hii ni ngazi ya awali kwa watumishi wa umma.
Mshahara wa kuanzia (TGS A.1): Tsh 380,000 kwa mwezi/Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale.
Ngazi za kati (TGS B – TGS I): Zina madaraja tofauti kulingana na uzoefu na elimu ya mtumishi.
Ngazi ya TGS J: Hii ni ngazi ya juu kabisa katika mfumo wa mishahara ya watumishi wa umma.
Mshahara wa juu kabisa (TGS J.1): Tsh 3,380,000 kwa mwezi/Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale.